Kilimo bora cha Mpunga
Loading...
Date
2024
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARI
Abstract
Mpunga ni zao muhimu kwa matumizi ya chakula na hata biashara. Ongezeko endelevu la uzalishaji wa mpunga linahitaji matumizi ya aina bora ya mbegu, mbinu bora za kilimo, mbinu bora za uzalishaji zinazozingatia mabadiliko ya tabia nchi na teknolojia nyinginezo zilizoboreshwa kwenye mnyororo mzima wa thamani.
Description
Kipeperushi
Keywords
Mpunga