Orodha ya vyakula vitakavyoliwa mwaka 2050

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-02-20T10:40:56Z
dc.date.available2024-02-20T10:40:56Z
dc.date.issued2022-05-22
dc.descriptionjaridaen_US
dc.description.abstractWanasayansi wameandaa orodha ya mimea ambayo inaweza kuwa sehemu muhimu ya lishe yetu mnamo mwaka 2050, lakini sasa haijulikani. Katika siku zijazo, tunaweza kuwa tunakula ndizi za kutengenezwa au tunda la mti wa pandunus kama kifungua kinywa cha asubuhi.Vita nchini Ukraine vimeashiria ongezeko la hatari la njaa kwani inaangazia mazao machache ambayo yanaweza kusambazwa duniani kote. Takriban asilimia 90 ya kalori ulimwenguni hutoka kwa aina 15 za nafaka. Kwa hivyo wataalamu katika bustani ya Royal Botanic ya London huko Queens wanatafuta mazao yanayofaa kwa siku zijazo. Pia kuna hatari kwamba uzalishaji wa chakula utapungua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na bei ya chakula kupanda. Ili kupambana na njaa na kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa, tunahitaji kupanua wigo wa chakula. Anafafanua San Pierre. "Watu duniani kote hula maelfu ya aina za mimea na ni katika mimea hii tunaweza kupata ufumbuzi wa changamoto za chakula kwa siku zijazo," alisema. Kati ya zaidi ya mazao 7,000 yanayoliwa duniani kote, ni aina 417 pekee zinazolimwa kwa ajili ya chakula. Nini kinaweza kuwa chakula cha siku zijazo?en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/792
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subject2050en_US
dc.subjectOrodha ya vyakulaen_US
dc.titleOrodha ya vyakula vitakavyoliwa mwaka 2050en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
ORODHA YA VYAKULA VITAKAVYOLIWA UKIFIKA MWAKA 2050.pdf
Size:
2.01 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections