Elimu ya Ujasiriamali: Kuelekea kwenye Maendeleo Endelevu Tanzania

dc.contributor.authorMuhura, Chiraka
dc.date.accessioned2022-04-20T11:20:14Z
dc.date.available2022-04-20T11:20:14Z
dc.date.issued2021
dc.description.abstractNchi nyingi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwa mfano, zimejaliwa raslimali ambazo zinaweza kub- adilishwa kuwa mali. Lakini suala ni jinsi ya kuzigeuza raslimali hizo ili kuwa vitu halisi. Elimu isiyofaa imeelezwa kuwa ndiyo kikwazo kikubwa kinachokwamisha kuzibadilisha raslimali hizo kuwa vitu halisi. Elimu ya Tanzania inasemekana kuwa ni elimu inayowaandaa watu kuwa waajiriwa wa maofsini, japokuwa nafasi za kazi ni chache ukilinganisha na idadi ya watu wanaotafuta kazi za kuajiriwa. Kwa ufupi, elimu yetu haijengi ubunifu na udadisi ambao ungewawezesha watu ama kujiajiri (ujasiriamali) au kuzipanua fursa za ajira ambazo zingewawezesha watu wengi kupata ajira. Fursa za ajira hazijatumiwa kwa kiwango kikubwa kiasi cha kuweza kuwachukua watu wote wenye sifa za kuajiriwa. Chapisho hili kwa hiyo linaibua jinsi elimu ya ujasiriamali inavyoweza kuibadilisha nchi kutoka kwenye utegemezi na kuwa nchi yenye kujitegemea.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/645
dc.language.isootheren_US
dc.publisherHaki Elimuen_US
dc.subjectUjasiriamalien_US
dc.subjectBiasharaen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleElimu ya Ujasiriamali: Kuelekea kwenye Maendeleo Endelevu Tanzaniaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Chapisho_12_2_k_Elimu_ya_Ujasiriamali_Ku.pdf
Size:
570.92 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: