Kilimo bora cha tumbaku
Loading...
Date
2022-11-23
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Bodi ya tumbaku tanzania
Abstract
Tumbaku huzalishwa kwa ajili ya majani yake,majani ya tumbaku yanapo komaa
huvunwa na tumbaku hutumika hasa kutengeneza sigara.Aina za tumbaku zinazo limwa Tanzania ni tumbaku ya mvuke (VFC) na tumbaku ya moshi (DFC). Tumbaku ya Moshi hulimwa kusini mwa Tanzania hasa Ruvuma na tumbaku ya Mvuke hulimwa Tabora,
Shinyanga, Kigoma, Katavi, Iringa, Mbeya, Songwe, Singida, Morogoro, Mara, Kagera
na Geita.
Description
Keywords
Kilimo, Tumbaku, Bodi
Citation
www.tobaccoboard.go.tz