Kilimo cha Tufaa - Apples
Loading...
Date
2018-08
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Tanzania Blog
Abstract
Tufaa ni tunda moja
maarufu duniani ambalo
hupendwa kuliwa na watu wa jamii zote, hii inatokana na utamu wake pamoja na faida za kiafya
zinazopatikana kwa kula matufaa. Matunda haya hustawi zaidi kwenye nyanda za juu ambako joto
sio kali, sehemu kama lushoto, Arusha, miteremko ya Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Njombe, Songea
nk. Udongo ni wenye rutuba ya kutosha na usiotuamisha maji
Description
Keywords
Tufaa, Matunda, Apples