Kilimo bora cha ufuta
Loading...
Date
2018
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Kilimo Tanzania
Abstract
Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha
mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao hili linaweza kulimwa maeneo mengi ya
Afrika mashariki na Tanzania.Ni zao ambalo linatowa mafuta yenye thamani kubwa na
hivyo kulifanya zao bora la biashara.
Description
Keywords
Ufuta, Mbegu za mafuta, Sesame, Simsim