Mfumo wa stakabadhi wa maghala Tanzania

dc.date.accessioned2018-10-18T08:53:54Z
dc.date.available2018-10-18T08:53:54Z
dc.date.issued2000
dc.description.abstractMfumo wa Stakabadhi za Maghala ni mfumo unaotumika nchini wa kutumia bidhaa zilizohifadhiwa kwenye maghala badala ya mali zisizohamishika kuwa dhamana ya kupata mikopo kutoka asasi za fedha. Mfumo kama huu pia unatekelezwa nchi nyingine za bara la Afrika pamoja na mabara ya Ulaya na Amerika. Kwa kufuata mfumo huu wakulima wadogo na wakati wakiwa kwenye Ushirika au Vikundi vya wakulima wanakuwa na nguvu ya soko na kuingia katika soko la ushindani ambalo ingekuwa vigumu kutokana na kukosekana kwa mitaji. Pia mfumo huu unasaidia kuzuia upotevu wa mazao unaotokana na uhifadhi dhaifu, kuhifadhi mazao ili kusubiri kuuza wakati muafaka na pia kuongezea bidhaaa thamani kabla ya kuziuza.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/365
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWarehouse Receipts Regulatory Boarden_US
dc.subjectGhalaen_US
dc.subjectHifadhien_US
dc.subjectSokoen_US
dc.subjectMazaoen_US
dc.titleMfumo wa stakabadhi wa maghala Tanzaniaen_US
dc.typeTechnical Reporten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mfumo.pdf
Size:
785.28 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: