FAIDA ZA MCHAICHAI KWA AFYA YAKO

dc.contributor.authorKatuma Blog
dc.date.accessioned2024-07-30T09:16:56Z
dc.date.available2024-07-30T09:16:56Z
dc.date.issued2006-02
dc.descriptionPublic use.en_US
dc.description.abstractMchaichai kama kiungo cha chakula jikoni na wengine hutumia kama dawa ya mbu. Lakini, je unafahamu kuwa majani haya yana aida kubwa kiafya. Mafuta vya mchaichai hutumika katika viwanda vinavyotengeza pafyumu na sabuni. Tafiti kadhaa zinaonesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupamban ana athari kadha wa kadha tumboni, kwenye mkojo na hata kwenye vidonda. Wengine huamini kuwa mchaichai huamini kuwa mchaichai unaweza kutibu baadhi ya maradhi kama vile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana na ulaji wa chakula chenye uchafu na pia hutibu maradhi ya kichwa na hata misuli. Mchaichai pia unatajwa kuwa kinywaji kinachoweza kupunguza joto. Chai ya mchaichai inasaidia kupunguza joto kwa mgonjwa wa homa.en_US
dc.description.sponsorshipSUAen_US
dc.identifier.citationhttps://ka2ma.blogspot.com/2016/01/hizi-ndiyo-faida-za-mchaichai-kwa-afya.htmlen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/893
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMzizi Mkavu Blogen_US
dc.subjectMchaichaien_US
dc.subjectFaida za mchaichaien_US
dc.subjectLemongrassen_US
dc.titleFAIDA ZA MCHAICHAI KWA AFYA YAKOen_US
dc.title.alternativemchaichaien_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mchaichai Makala.pdf
Size:
31.78 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Public use
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections