Mboga za watu wa Pwani - Kilifi Utamaduni Conservation Group
Loading...
Date
2011
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Bioversity International
Abstract
Kitabu kinazungumzia mbogamboga za watu wa pwani ukanda wa Mombasa nchini Kenya na ikiwa ni kielelezo cha mboga zote za Kimijikenda. Mijikenda maana yake ni makabila tisa yanayosikilizana kwa lugha. Makabila hayo tisa ya Mijikenda ni Digo, Giryama, Kambe,
Duruma, Rabai, Ribe, Jibana, Chonyi na Kauma.
Description
Keywords
Mboga mboga, Pwani, Chakula