Usindikaji wa ndizi

dc.contributor.authorDenis, Marco D.
dc.date.accessioned2022-01-25T10:51:25Z
dc.date.available2022-01-25T10:51:25Z
dc.date.issued2016-01-22
dc.descriptionusindikaji wa ndizien_US
dc.description.abstractSiku zote usipokuwa na juhudi na maarifa maisha ni magumu sana, lakini unapojituma na kutokukata tamaa, ni wazi utapata mafanikio. Jambo la msingi ni kujifunza mambo mbalimbali na kutenda kwa vitendo. Ndivyo alivyoanza kueleza Penina ambae ni msindikaji wa ndizi kutoka kijiji cha Nndatu wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Penina anaeleza kuwa, alianza usindikaji wa ndizi mwaka 2013, baada ya kuhudhuria semina ya usindikaji kutoka katika shirika lisilo la kiserikali la TeMdo. Anaeleza kuwa alifikia uamuzi wa kutafuta utaalamu wa kusindika ndizi, baada ya kuchukizwa na hali ya wakulima kupata hasara iliyotokana na ndizi kuoza na kutupwa msimu ambayo upatikanaji wake ni mkubwa. Pia uhitaji wa ndizi kavu kutoka kwa makundi mbalimbali kulishawishi zaidi kutafuta njia za kisasa za kufanya kazi hiyo.en_US
dc.description.sponsorshipmuungwana blog.en_US
dc.identifier.citationhttps://www.muungwana.co.tz/2016/01/usindikaji-wa-ndizi-umeniwezesha.htmlen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/564
dc.language.isootheren_US
dc.publisherMuungwana blogen_US
dc.subjectUsindikaji wa ndizien_US
dc.titleUsindikaji wa ndizien_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
USINDIKAJI WA NDIZI UMENIWEZESHA KUANZISHA MIRADI MINGINE.pdf
Size:
85.86 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Usindikaji wa ndizi
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: