Kujenga picha ya jamii yetu kwa siku zijazo: sababu na jinsi ya kushiriki kupanga matumizi ya ardhi - Sura ya Pilii

dc.date.accessioned2018-06-14T05:37:16Z
dc.date.available2018-06-14T05:37:16Z
dc.date.issued2010
dc.description.abstractWote tunaiona wazi: watu wameongezeka, miji imekua, mifugo imeongezeka, mashamba mengi zaidi .... Vilevile uharibifu zaidi wa ardhi, uharibifu wa misitu, mmomonyoko wa udongo .... Migogoro mingi zaidi kati ya wakulima na wafugaji, wachimba madini na wafugaji, wanyamapori na watu .... Mahitaji yetu ya kutumia ardhi yanaongezeka wakati wote, lakini eneo la ardhi haliongezeki. Tutafanyaje ili tuwe na matumizi mazuri na ya kuridhisha ya ardhi tuliyonayo, katika mazingira ya hali ya tabianchi na maliasili, pamoja na tamaduni zetu, njia tunazotumia kumudu maisha, matarajio na ndoto za jamii yetu? Kujibu swali hili ndilo lengo la kupanga matumizi ya ardhi. Na kwa sababu ardhi ni ya msingi kwa jamii, mpango wa matumizi ya ardhi unakuwa bora pale tu jamii inaposhiriki kikamilifu kwenye mchakato. Hapo ndipo linapokamilika suala la “ushirikishwaji” kwenye mpango shirikishi wa matumizi ya ardhi, yaani LUP.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/184
dc.language.isootheren_US
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectUharibifuen_US
dc.subjectMisituen_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.titleKujenga picha ya jamii yetu kwa siku zijazo: sababu na jinsi ya kushiriki kupanga matumizi ya ardhi - Sura ya Piliien_US
dc.typeBook chapteren_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
i0821sw02.pdf
Size:
637.71 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: