Chololo kijiji endelevu: mfano wa utendaji bora katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi
Loading...
Date
2014
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo cha Mipango na Maendeleo ya Jamii - IRDP
Abstract
Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya na ni mfano wa utendaji bora
katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwezesha jamii kufanya majaribio, tathmini na kutumia mbinu 26 za ubunifu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika: kilimo; mifugo; maji; nishati na misitu
Description
Keywords
Chololo, Maendeleo, Mabadiliko ya tabia nchi, Mazingira