Siasa ya Tanu katika Kilimo.

dc.contributor.authorKimiti, P.P
dc.date.accessioned2024-04-05T08:06:23Z
dc.date.available2024-04-05T08:06:23Z
dc.date.issued1977
dc.descriptionjaridaen_US
dc.description.abstractTANU ya sasa ina kazi kubwa sana, maana TANU inafanya kazi ya kuelimisha, kueleza na kujcnga Taifa letu ili litoke katika hali ya unyongc na kuwa katika hali ya neema na nguvu. Kania sote tunavyoelcwa ni kwamba katika kuwaongoza wananchi. ni budi kwanza tuwasikilize, tushirikiane nao na tufanye kazi pamoja nao. Uhusiano uliopo kati ya Serikali na chama cha TANU ni mkubwa. J ambo la kukumbukwa ni kwamba chama siyo chombo cha Serikali, bali ni Serikali ambayo ndiyo chombo kinachotumiwa na chama katika kutekeleza matakwa yo vote ya wananchi ambao sisi sote tunawatumikia. Hii ndiyo maana tunasema kuwa chama kina wajibu mkubwa wa kufanya, katika kufikiria misingi ambayo baada ya kuwekwa kwa uwazi, ni budi Serikali ifuate na kutekeleza. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika ni sehemu ya Serikali. Hivyo Wizara hii ina wajibu mkubwa sana katika kuitekeleza siasa ya TANU ambayo ndiyo inayoongoza Serikali.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/849
dc.language.isootheren_US
dc.publisherAfisa kilimo msaidizi ofisi yakilimo Tanu.en_US
dc.subjectSiasa ya Kilimoen_US
dc.subjectTanuen_US
dc.titleSiasa ya Tanu katika Kilimo.en_US
dc.title.alternativeTwendeni vijijini.en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Siasa ya tanu katika kilimo.pdf
Size:
4.16 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections