Mihogo inaweza kutumika kupunguza gharama ya juu ya chakula

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-02-23T09:52:52Z
dc.date.available2024-02-23T09:52:52Z
dc.date.issued2022-05-22
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractKuna mboga kuu mbili za mizizi katika Afrika Magharibi - mihogo na viazi vikuu au magimbi. Muhogo unapatikana mwaka mzima, ni wa bei nafuu na unajulikana, au tukisema kwa usahihi, ulijulikana kuwa chakula cha maskini. Nyingine maarufu ni viazi vikuu, ambayo mwandishi wa Nigeria Chinua Achebe alitaja kama "mfalme wa mazao". Mavuno ya magimbi yanasubiriwa kwa hamu. Hakika, ibada maalum hufanywa kabla ya magimbi kuvunwa na kuliwa, na tunavaa nguo zetu bora zaidi ili kusherehekea zao hilo. Muhogo ni chakula bora cha kila siku na kilikuwa kama chakula cha kawaida cha maskini na watumishi. Ninaona kuwa Rais Yoweri Museveni wa Uganda anawataka watu wake kugeukia mlo wa mihogo kama dawa ya kuporomoka kwa bei ya ngano wakati huu ambapo gharama ya maisha duniani kote imepanda .en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/822
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subjectMihogoen_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.subjectgharamaen_US
dc.titleMihogo inaweza kutumika kupunguza gharama ya juu ya chakulaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MIHOGO INAWEZA KUTUMIKA KUPUNGUZA GHARAMA YA JUU YA CHAKULA.pdf
Size:
1.61 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections