Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama

dc.contributor.authorNdemanisho, Edith E
dc.date.accessioned2024-02-23T10:00:17Z
dc.date.available2024-02-23T10:00:17Z
dc.date.issued2018
dc.descriptionMtunze mbuzi akutunzeen_US
dc.description.abstractKitabu hiki cha “Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama" kimetayarishwa na mtaalam na muelimishaji wa somo la mbuzi na kondoo kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kwa Aiidi ya miaka 35, Profesa Edith Ndcmanisho. Lengo kubwa la kitabu hiki ni kuwaelimisha wafugaji wadogo wadogo wa mbuzi juu ya ufugaji wa kisasa ili kuongeza pato na lishe kwa familia. Aidha, kimetayarishwa kwa kutumia lugha rahisi inayomwczesha mkulima kuelewa yaliyomo kwa urahisi. Nchini Tanzania kuna mbuzi wanaokadiriwa kufikia milioni 24.5. Hadi sasa. kuna miradi michachc ya utafiti na macndclco ya uzalishaji wa wanyama hawa. Wafugaji wa inbuzi hawajaelimishwa juu ya mbinu mbali mbali za uzalishaji. Kwa hiyo kuna matatizo mengi yanayoathiri shughuli za uzalishaji wa mbuzi ikiwa ni painoja na ulishaji bora, uzalishaji (breeding), mabanda. magonjwa na utunzaji kwa ujumla. Soko la mbuzi ni kubwa hasa katika nchi za Uarabuni na huwa wanatafuta mbuzi wa nyama kwa wingi kutoka Tanzania. Ni vyema wafugaji wa mbuzi wakachangamkia hili soko kwani majirani zetu Kenya huwa wanao mbuzi bora ila idadi yoke sio kubwa kama ya nchini Tanzania.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/823
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSokoine university of agricultureen_US
dc.subjectUzalishajien_US
dc.subjectMbuzien_US
dc.subjectNyamaen_US
dc.titleUzalishaji bora wa mbuzi wa nyamaen_US
dc.title.alternativeMtunze mbuzi akutunzeen_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama.pdf
Size:
1.81 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections