Uhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakula

dc.contributor.authorPELUM Tanzania
dc.date.accessioned2022-04-19T05:34:21Z
dc.date.available2022-04-19T05:34:21Z
dc.date.issued2013-09-13
dc.description.abstractPELUM Tanzania ni mtandao wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali yanayofanya kazi na wakulima na wafugaji wadogo nchini Tanzania. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 1995 na kusajiliwa kisheria mwaka 2002. Kazi kuu ya PELUM Tanzania ni kuhamasisha na kuendeleza kilimo endelevu kwa kujenga uwezo wa Mashirika Wanachama kwa njia ya kutandaa, kutunza na kueneza habari pamoja na ushawishi na utetezi. Walengwa wakuu wa PELUM Tanzania ni Mashirika Wanachama ambapo wanufaikaji ni wakulima na wafugaji wadogo wanaohudumiwa na Mashirika Wanachama. Kwa sasa mtandao huu unaundwa na Mashirika Wanachama 33 yanayohudumia wakulima na wafugaji wadogo zaidi ya milioni moja na laki mbili katika mikoa 16 ya Tanzania Bara.en_US
dc.description.sponsorshipPELUM Tanzania.en_US
dc.identifier.isbnISBN 978-9987-8956-4-9
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/614
dc.language.isoenen_US
dc.publisher© PELUM Tanzania 2013en_US
dc.subjectUhakika wa chakulaen_US
dc.titleUhakika wa Mbegu kwa Uhakika wa Chakulaen_US
dc.title.alternativeMwongozo wa Uzalishaji wa mbegu za asili za mahindien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mwongozo-wa-kilimo-cha-mbegu-za-asili.pdf
Size:
805.3 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Article
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: