Kilimo Bora cha Migomba

dc.contributor.authorMbega, Daniel
dc.date.accessioned2024-09-11T07:00:14Z
dc.date.available2024-09-11T07:00:14Z
dc.date.issued2017-03
dc.descriptionKwa matumizi ya wananchien_US
dc.description.abstractKWA miaka mingi ndizi ndilo zao kuu la chakula mkoani Kagera, na sasa limekuwa zao la biashara kwa baadhi ya wilaya kama Karagwe na Muleba. Ndizi zinasafirishwa kwa wingi kwenda mikoa mingine ndani na nje ya Kanda ya Ziwa na zinaonekana kupendwa na walaji wengi, hasa ‘Ndizi Bukoba’. Ndizi zinatokana na migomba. MaendeleoVijijini inafahamu kwamba, japokuwa kuna mazao mengine yanayolimwa Kagera kama kahawa, mahindi, maharage, mikunde, viazi vitamu, viazi mviringo, viazi vikuu, njugu mawe, karanga, nyanya, machungwa, mapera na mananasi, lakini migomba ndilo zao linaloongoza kwa chakula. Mbali ya Kagera, migomba hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Morogoro, Tanga, Mbeya, Kigoma na Mara.en_US
dc.description.sponsorshipMaendeleo Vijijini-Governementen_US
dc.identifier.citationhttps://aginfocenter.wordpress.com/2017/03/23/kilimo-bora-cha-migomba/en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/927
dc.publisherMaendeleo Vijijinien_US
dc.subjectMigombaen_US
dc.subjectMatundaen_US
dc.subjectNdizien_US
dc.titleKilimo Bora cha Migombaen_US
dc.title.alternativeMigombaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KILIMO BORA CHA MIGOMBA.pdf
Size:
483.75 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Kilimo Bora cha Migomba
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections