Mwarobaini-Azadirachta indica

Loading...
Thumbnail Image

Date

2006

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

HDRA Publishing

Abstract

Mti wa mwarobaini unayo matumizi na faida nyingi, lakini hapa tutajadili umuhimu wa mti huu katika kuzuia na kukabili wadudu na magonjwa ya mimea. Duniani kote, theluthi moja ya vyakula vilivyo shambani au kuhifadhiwa hupotezwa kwa kuvamiwa na wadudu kila mwaka. Mpunga na mahindi ndio huadhiriwa kwa wingi katika Afrika na Asia. Lengo kuu la makala haya ni kueleza jinsi mwarobaini unavyoweza kutumiwa katika kukabili shida hii.

Description

Keywords

Mwarobaini, Mwarubaini, Azadirachta indica, Mkilifi, Mwarubaine

Citation

Collections