Mbinu bora za kilimo kwa wakufunzi na wasindikaji

dc.contributor.authorTiisekwa, B. P. M
dc.contributor.authorNdibakunze, B. K
dc.contributor.authorSuleiman, R
dc.contributor.authorTiisekwa, A. B
dc.date.accessioned2017-11-16T06:54:08Z
dc.date.available2017-11-16T06:54:08Z
dc.date.issued2011-02
dc.description.abstractMatunda na mbogamboga ni mazao muhimu katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, kama yalivyo muhimu katika ulimwengu wote. Mazao haya ni chanzo cha vitamini, madini, antioxidants, kambakamba za chakula and wanga ambayo ni mahitaji muhimu ya mwili. Virutubisho hivi huongeza ubora wa chakula na huzuia binadamu kupata magonjwa sugu. Hata hivyo, matunda na mbogamboga huharibika kirahisi sana na hivyo hupoteza kwa haraka sana thamani yake ya lishe na ya kiuchumi. Makadirio ya upotevu wa matunda na mbogamboga baada ya mavuno katika nchi zinazoendelea ni asilimia 40%. Hii inamaanisha kuwa katika kipindi ambacho siyo cha mavuno, kaya hukabiliwa na upungufu wa matunda na mbogamboga kwa sababu ya ukosefu wa ufahamu wa namna ya kuhifadhi na kusindika kwa ajili ya matumizi katika mwaka mzima. Matokeo ya muda mrefu ya hali hii ni uhaba wa bidhaa iliyosindikwa katika ngazi ya chini na kutokidhi mahitaji ya viwango vya ubora kwa masoko ya ndani na nje nchi. Changamoto hizi zimeisukuma ASARECA kuwekeza katika utafiti na maendeleo katika teknolojia za mazao freshi na kuongeza thamani na mapato yatokanayo na bidhaa hizo.en_US
dc.description.sponsorshipASARECAen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/54
dc.language.isootheren_US
dc.publisherIdara ya Sayansi ya Chakula na Teknolojia - SUAen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectUsindikajien_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.subjectBiasharaen_US
dc.subjectMatundaen_US
dc.titleMbinu bora za kilimo kwa wakufunzi na wasindikajien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mbinu bora za kilimo.pdf
Size:
505.86 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: