Mbinu bora za kunyunyizia dawa kwenye pamba
Loading...
Date
1995
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Chuo cha kilimo cha Sokoine
Abstract
Kitabu hiki kinampatia mkulima mbinu bora za kunyunyizia dawa kwenye pamba ili kuondoa vijidudu vinavyoharibu ukuaaji wa pamba. Pia jinsi ya kutumia zana za kilimo na mavazi sahihi wakati wa kunyunyizia dawa. Mkulima anatakiwa kujua ni wakati gani wa kunyunyizia dawa kwenye pamba kutoka kwa wataalam.
Description
Keywords
Pamba, Dawa, Kunyunyizia