Mwongozo wa mafunzo ya kilimo hai Afrika: Usimamizi wa rutuba ya udongo

dc.date.accessioned2018-06-22T07:52:16Z
dc.date.available2018-06-22T07:52:16Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractWasiwasi unatanda kuhusu uendelevu wa muda mrefu wa sekta ya kilimo. Ardhi yenye rutuba na maji ya kutosha ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza kilimo na kaya. Hata hivyo, katika bara la Afrika uzalishaji unaotokana na ardhi umekuwa ukiendelea kupungua kutokana na shughuli za kilimo kilichoshadidi zinazosababisha uharibifu wa ardhi. Sababu kubwa za uharibifu wa ardhi ni taratibu za kilimo zisizokuwa endelevu kama vile kulima kwenye miteremko mikali bila ya kuchukua hatua za kuhifadhi udongo na maji, kulima zao la aina moja tu, utifuaji wa ardhi uliopitiliza, kupungua kwa mazoea ya kupumzisha ardhi bila ya kuchukua hatua stahiki za kurudishia virutubisho vya ardhi, kuchoma mabaki ya mazao, kugeuza misitu na vichaka kuwa maeneo ya kilimo cha kudumu, au matumizi yaliyopitiliza ya misitu kwa ajili ya kuvuna kuni na mbao, mifugo mingi katika eneo dogo la malisho, na kutokuwepo kwa udhibiti imara wa mboji kwenye udongo.en_US
dc.identifier.isbn978-3-03736-197-9
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/201
dc.language.isootheren_US
dc.publisherFIBLen_US
dc.relation.ispartofseriesMwongozo wa mafunzo ya kilimo hai Afrika.;Toleo na. 1
dc.subjectUdongoen_US
dc.subjectArdhien_US
dc.subjectMazingiraen_US
dc.subjectKilimo haien_US
dc.subjectKilimo Salamaen_US
dc.titleMwongozo wa mafunzo ya kilimo hai Afrika: Usimamizi wa rutuba ya udongoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
M02_Soil-Fertility_Swahili-lr.pdf
Size:
1.57 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: