Mwongozo wa ufugaji bora wa samaki

dc.contributor.authorMunubi, R. N
dc.contributor.authorLamtane, H. A
dc.contributor.authorMwandya, A. W
dc.contributor.authorMadalla, N. A
dc.contributor.authorChenyambuga, S. W
dc.date.accessioned2020-09-21T06:10:21Z
dc.date.available2020-09-21T06:10:21Z
dc.date.issued2020
dc.description.abstractKitabu hiki cha mwongozo wa ufugaji bora wa samaki kimeandaliwa na kuandikwa na watalaamu wabobezi wa taaluma ya ufugaji wa samaki toka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Morogoro. Kimeandaaliwa ili kuchangia katika kukidhi mahitaji ya kitaalamu kwa wafugaji wa samaki aina ya perege au sato, kwa vile utafiti umebaini kwamba katika miaka ya hivi karibuni watu wengi wameanza kufuga samaki bila ya kuwa na elimu sahihi. Kitabu hiki cha mwongozo kimeeleza mambo yote ya msingi kwa ujumla wake kuanzia kuchagua eneo la mradi hadi uvunaji na uuzaji wa samaki aina ya perege au satoen_US
dc.identifier.isbn978-9976-88-170-7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/497
dc.language.isootheren_US
dc.publisherIdara ya Sayansi za Wanyama, Ukuzaji Viumbe Maji na Nyanda za Malisho, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.en_US
dc.subjectSamakien_US
dc.subjectUfugajien_US
dc.titleMwongozo wa ufugaji bora wa samakien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Ufugaji wa Samaki Book A5 Kiswahili-SM Final 10 July 2020.pdf
Size:
2.15 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections