Utengenezaji wa vyakula vya kuku - Mwongozo kwa mfugaji
Loading...
Date
2011
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Rural Livelihood Development Company - RLDC
Abstract
Mwongozo huu unaeleza mambo ya msingi katika kuandaa vyakula vya kuku wa rika tofauti. Kama mifugo wengine, kuku wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu vinavyohitajika na mwili kama wanga, protini, Madini, mafuta , vitamin na maji.
Description
Keywords
Kuku, Vyakula, Mifugo, Ufugaji