Chakula cha Nguruwe na ulishaji

dc.contributor.authorMitiki, MiTiki blog.
dc.date.accessioned2021-05-05T08:38:28Z
dc.date.available2021-05-05T08:38:28Z
dc.date.issued2017-02-07
dc.descriptionLishe Bora kwa Nguuween_US
dc.description.abstractChakula bora kwa Nguruwe ni moja ya suala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa Nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha Nguruwe kinagharimu kama asilimia sabini ya garama zote za ufugaji wa nguruwe. Kati ya matatizo mengi yanayosababisha tija na ufanisi duni wa uzalishaji wa Nguruwe yanatokana na lishe duni. Lakini kama wakipatiwa lishe bora, tija na ufanisi wa uzalishaji utakuwa mkubwa hivyo kuongeza faida kwa mfugaji.en_US
dc.description.sponsorshipMitiki blog.en_US
dc.identifier.citationhttp://mitiki.blogspot.com/2017/02/chakula-cha-nguruwe-na-ulishaji.htmlen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/551
dc.language.isootheren_US
dc.subjectLishe na Ulishaji wa Nguruween_US
dc.titleChakula cha Nguruwe na ulishajien_US
dc.title.alternativeLishe kwa Nguruween_US
dc.typeOtheren_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
CHAKULA CHA NGURUWE NA ULISHAJI.docx
Size:
37.46 KB
Format:
Microsoft Word XML
Description:
Nuguruwe na ulishaji
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections