Binzari ya manjano

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-02-23T08:20:03Z
dc.date.available2024-02-23T08:20:03Z
dc.date.issued2022-04-22
dc.descriptionjaridaen_US
dc.description.abstractBinzari ya manjano katika majiko ya nchi zote za Asia Kusini, ikiwa ni pamoja na India na Pakistan. Lakini je binzari manjono hutumiwa kwa ajili ya ladha ya chakula au inaweza kuboresha afya na kuzuwia saratani? Utakuta maelfu ya makala zikielezea jinsi binzari ya manjano zinavyoweza kutibu magonjwa kama kiungulia, kukosekana kwa uwezo wa tumbo wa kusaga chakula, kisukari, huzuni na maradhi ya ubongo ya Alzheimer.Inaweze hata kuponya saratani. Maelfu ya tafiti yamekwishafanywa juu ya binzari ya manjano. Kiungo hiki kinasemekana kuwa na manufaa ya kimatibabu, na kiana kiungo kiitwacho curcumin. Majaribio yaliyofanywa kwa panya yameonyesha kuzuia aina nyingi za saratani kukua ndani yake. Lakini binzari manjano huwa na asilimia mbili hadi tatu za curcumin na tunapoila, miili yetu haifyonzi kiasi chote hicho. Hatahivyo, tafiti kuhusu binzari za manjano huripoti kwa nadra kiasi cha kawaida cha binzari hiyo katika mlo. Kwahiyo ulaji wa kiasi kidogo cha Binzari ya manjano kunaweza kuboredha afya yetu au je tunapaswa kutumia virutubisho vya binzari ya manjano au curcumin kujikinga na magonwa.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/818
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectBinzarien_US
dc.subjectManjanoen_US
dc.titleBinzari ya manjanoen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
BINZARI YA MANJANO.pdf
Size:
1.56 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections