Hatua za ukaushaji wa mchicha kwa kutumia kaushio la mionzi ya jua: Mradi wa kusindika kibiashara kwa baadhi ya matunda na mbogamboga hususan maembe, makarara na mchicha Tanzania na Rwanda.
Loading...
Date
2011-02
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
ASARECA
Abstract
Mchicha wenye vishindo. Ulionyauka au kuharibika hauchambuliki kwa urahisi na pia hushusha ubora wa bidhaa ya mwisho. Mchicha ulio zeeka hua na nyuzinyuzi ambazo ni ngumu kuiva, kutafunikika na haziwezi kumeng’enywa katika mfumo wa chakula na hivyo kuukoseshea mwili virutubisho.
Description
Keywords
Usindikaji, Mchicha, Maembe, Makarara