Kilimo Bora cha Viazi vitamu
Loading...
Date
2022-06-25
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele
Abstract
Viazi vitamu ni miongoni mwa mazao muhimu ya chakula nchini Tanzania. Zao hili hustawi karibu mikoa yote hapa nchini Tanzania. Kwa uzalishaji, viazi vitamu vinashika nafasi ya nne baada ya Mahindi, Muhogo na Maharage. Viazi vitamu pia vinashika nafasi ya tatu kwa umuhimu baada ya Muhogo na viazi mviringo kwa mazao ya chakula aina ya mizizi na jamii ya viaz
Description
Keywords
Kilimo, Viazi Vitamu