Ufugaji nyuki kibiashara

dc.contributor.authorChuo Kikuu Mzumbe, Skuli ya Biashara
dc.date.accessioned2024-02-23T11:36:54Z
dc.date.available2024-02-23T11:36:54Z
dc.date.issued2018
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractKitabu hiki ni zao la uzoefu, kujifunza na utafiti wa miaka mitano katika sekta ya nyuki. Baada ya kufanya kazi na wajasiriamali katika sekta ya misitu na nyuki, fursa katika ufugaji-nyuki zilikuwa ni wazi. Hata hivyo, uwezo wa wajasiriamali kuwekeza katika sekta hii umekuwa na changamoto lukuki. Nchini Tanzania, uwindaji, ukusanyaji wa mazao ya nyuki na ufugaji nyuki umekuwepo toka enzi. Hata hivyo sekta hii imeendelea kuwa isiyo na manufaa kwa mfugaji. Wafugaji wa nyuki hufanya shughuli hii kwa mazoea, pasipo kuzingatia mbinu na utaalamu wa kisasa; Wanategemea zana, utaalamu na uzoefu wa asili. Hivyo, uzalishaji umekuwa mdogo, usiokuwa na tija. Pia, mazao ya nyuki hayana ubora stahili, na hivyo yasiyoleta tija kwa mfugaji. Hali hii hupelekea kushindwa kupata soko lenye tija. Hata hivyo, ikiwa ufugaji nyuki utafanyika kwa kuzingatia mbinu za kisasa; kanuni, zana na nyenzo bora; basi uzalishaji unaweza kuongezeka. Pia, yatapatikana mazao yenye ubora stahili na ambayo yataweza kufikia masoko yenye tija. Kwa kuzingatia changamoto zilizopo katika sekta ya nyuki; hasa suala la elimu, ujuzi na utaalamu wa kufuga kwa tija. Ujio wa kitabu hiki, “Ufugaji nyuki kibiashara: Nadharia na vitendo” kitachangia katika kuleta ufanisi katika sekta ya nyuki nchini. Ni matumaini yetu kuwa ujuzi uliomo katika kitabu hiki utawafaa wadau mbalimbali katika sekta ya nyuki. Asanteni sana.en_US
dc.description.sponsorshipVIRILUOSen_US
dc.identifier.isbn978–9987–9916–1–7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/830
dc.language.isootheren_US
dc.publisherChuo Kikuu Mzumbeen_US
dc.subjectUfugaji nyukien_US
dc.subjectKibiasharaen_US
dc.titleUfugaji nyuki kibiasharaen_US
dc.title.alternative:Nadharia na Vitendoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
TISA:02:ISHIRINI NA NNE.pdf
Size:
3.76 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections