Matunda
Loading...
Date
2023-01-13
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
chuo kikuu cha sokoine cha kilimo
Abstract
Tunda ni sehemu ya mmea ilio na mbegu au isio na mbegu ndani yake. Tunda ni sehemu ya chakula ambacho hujumuishwa katika lishe ya kila siku. Matunda mbalimbali huwa na virutubisho tofauti vinavyohitajika mwilini.
Description
Keywords
Matunda, Afya bora, Ulaji wa matunda