Baadhi ya vyakula na viungo vinavyosaidia kukabiliana na matatizo mbalimbali ya kiafya.
Loading...
Date
2018
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Taasisi ya chakula na lishe.
Abstract
Watu wanaishi na virusi vya ukimwi na wenye ukimwi mara nyingi hupata matatizo ya ulaji ,umeng'enywaji, ufyonzwaji wa chakula mwilini ,mengine ni kupoteza hamu ya kula,mafua ya mara kwa mara ,vidonda vya kooni na kuharisha.Baadhi ya vyakula na viungo hivyo tangawizi,karoti nk.
Description
Keywords
Vyakula, Viungo, Matatizo, Kiafya
Citation
www.tfnc.or.tz