Ukulima wa Kisasa.

dc.contributor.authorWizara ya kilimo chakula na ushirika
dc.date.accessioned2024-04-29T08:15:39Z
dc.date.available2024-04-29T08:15:39Z
dc.date.issued2006-04
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractMwaka 2005/2006 Tanzania inakabiliwa na upungufu inkuwa wa chakula. Sababu kubwa ya upungufu huo ni hah ya ukame ulioikumba nchi yetu. Hata hivyo tatizo hilo la upungufu wa chakula lisingckuwa kubwa kiasi hicho iwapo wananchi kwa ujumla wangekadiria sawa sawa kiasi cha chakula wanachohilaji na kukihifadhi wakati wa mavuno. Ukadiriaji wa mahitaji ya chakula katika kaya ni jambo la muhirnu katika kuhakikisha kuwa familia hasa za vijijini zinakuwa na chakula cha kutoshelcza mahitaji ya mwaka mzima. Kaya ikifahamu mahitaji yake itaweka mipango thabiti ya uzalishaji kulingana na mahitaji ya chakula na matumizi mengine kama vile kuuza, kutoa zawadi, kufanya sherehe na shughuli mbalimbali za mila na'desturi. Wakati wa kukadiria kiasi cha mazao ya kuhifadhi katika kaya ni muhirnu kuzingatia idadi ya watu katika kaya, utaalam wa kuhifadhi, vyombo au sehemu ya kuhifadhia na matumizi mengine .en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/865
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya kilimo Chakula na Ushirikaen_US
dc.relation.ispartofseries;no.471
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.subjectChakulaen_US
dc.titleUkulima wa Kisasa.en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Ukulima wa kisasa.pdf
Size:
6.14 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections