Jifunze kustawisha mikorosho.

dc.contributor.authorNgeze, Pius B
dc.date.accessioned2024-02-23T07:26:43Z
dc.date.available2024-02-23T07:26:43Z
dc.date.issued2010
dc.description.abstractKorosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, huslawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji uko chini ya mahitaji ya soko. Uzalishaji kwa ckari au hektari na kwa mtimmoja uko chini. Hii inatokana na wakulima wengi kutojua na kutozingatia kanuni bora za kilimo cha zao hili. Aidha, jitihada za kufufua na kuboresha mashamba ya mikorosho haziridhishi.Kitabu hiki ni jitihada ya kueleza kanuni bora hizo kama mchango wa mwandishi katika kuieta mapindpzi ya kilimo cha zao hili. Hii ni njia mojawapo ya kutekeleza Kilimo Kwanza katika Mikoa inayostawisha mikorosho.en_US
dc.identifier.isbn978 9987 07 023 7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/808
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTanzania Educational Publishers Ltden_US
dc.subjectMikoroshoen_US
dc.subjectKustawishaen_US
dc.subjectJifunzeen_US
dc.titleJifunze kustawisha mikorosho.en_US
dc.typeLearning Objecten_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JIFUNZE KUSTAWISHA MIKOROSHO.pdf
Size:
1.54 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections