Athari za vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru katika kuuza mazao makuu ya chakula, kwa ustawi wa wakulima wadogo.

dc.date.accessioned2018-06-13T08:11:56Z
dc.date.available2018-06-13T08:11:56Z
dc.date.issued2012
dc.description.abstractKwa nia ya kupambana na viashirio vya uhaba wa chakula ambavyo zaidi husababishwa na hali mbaya ya hewa, Serikali imekuwa na sera ya kuzuia uuzaji wa aina kuu za vyakula nje ya nchi. Hufanya hivyo kwa kisingizio cha kuhakikisha taifa lina chakula cha kutosheleza mahitaji ya wananchi wakati wote. Aidha, Serikali inaamini kwamba vizuizi hivyo ni hatua ya kuwa na chakula kingi nchini na kuwawezesha walaji wamudu bei yake. Uwepo wa vizuizi vya kusafirisha mazao nje ya nchi na vikwazo vya kibiashara na makusudio yake, yaliibua mijadala mikubwa.en_US
dc.description.sponsorshipAGRAen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/161
dc.publisherEconomic and Social Research Foundation - REPOAen_US
dc.subjectMasokoen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.subjectMazao ya chakulaen_US
dc.subjectSeraen_US
dc.titleAthari za vizuizi vya ushuru na visivyo vya ushuru katika kuuza mazao makuu ya chakula, kwa ustawi wa wakulima wadogo.en_US
dc.title.alternativeTANZANIA MARKETS PAN: Masoko ya Kitanzania-PANen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
document.pdf
Size:
753.71 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections