Watu na nyuki: Mwongozo (kwa lugha nyepesi) wa Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

dc.date.accessioned2018-06-13T08:09:21Z
dc.date.available2018-06-13T08:09:21Z
dc.date.issued2004-08
dc.description.abstractKijitabu hiki kunatoa mwongozo kwa lugha nyepesi kuhusu Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki Tanzania inayotekelezwa katika kipindi cha mwaka 2001–2010. Programu hii iliidhinishwa na Serikali mwezi Novemba 2001. Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki (PTUN) inakidhi mahitaji ya jumla ya mpango wa maendeleo nchini, hasa Mkakati wa Kupunguza Umaskini (MKU). PTUN imeundwa kutokana na mawazo makuu au misingi inayohusiana na maendeleo endelevu na Usimamizi Endelevu wa Rasilimali za Nyuki (UERN). Hii ina maana kwamba mipango ya maendeleo lazima ipangwe kwa kushughulikia masuala ya mazingira, jamii na uchumi. Kama uchumi utakua wakati mazingira yanaharibika na watu wengi wanakuwa maskini, maendeleo hayatakuwa endelevu. Kwa hivyo PTUN inalenga katika uhifadhi wa mazingira, ukuaji wa uchumi na kupunguza umaskini kwa wakati mmoja. Kama uchumi utakua wakati mazingira yanaharibika na watu wengi wanakuwa maskini, maendeleo hayatakuwa endelevu Mtazamo wa PTUN unahusisha mabadiliko ya Sera za Serikali yanayohimiza ushirikishwaji wa jamii, sekta binafsi, washirika katika maendeleo, mashirika yasiyo ya kiserikali, vikundi vya ufugaji nyuki na vyama mbalimbali katika usimamizi wa rasilimali za nyuki. Ushiriki sawa wa wanawake na wanaume utahimizwa na hii itasaidia katika maendeleo ya uchumi na kupunguza umaskini. Huu ni mtazamo thabiti na wa kusisimua ambao unaleta changamoto na manufaa mengi.Yote haya yamefafanuliwa katika kijitabu hiki.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/150
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Maliasili na Utaliien_US
dc.subjectNyukien_US
dc.subjectMwongozoen_US
dc.subjectAsalien_US
dc.titleWatu na nyuki: Mwongozo (kwa lugha nyepesi) wa Programu ya Taifa ya Ufugaji Nyuki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniaen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Watu-na-Nyuki.pdf
Size:
1.37 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections