Wakulima wa pamba

Loading...
Thumbnail Image

Date

2023-12-01

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Sokoine university of agriculture

Abstract

Wakulima wa pamba ni wadau wakuu katika sekta ndogo ya pamba huku mchango wao ndio unaotegemewa zaidi kuiinua tasnia ya pamba. Pamba inalimwa na wakulima wadogo wenye mashamba ya ukubwa wa kuanzia ekari 1 hadi ekari 10.Sehemu kubwa ya wakulima hutumia jembe la kokotwa na wanyama kazi na jembe la mkono huku sehemu ndogo wakitumia trekta kuandaa mashamba.

Description

Keywords

Pamba, wakulima

Citation

https://www.tcb.go.tz/pages/cotton-growers-tz

Collections