Bustani za uyoga kwa wakulima wadogo vijijini uyoga aina ya oyster, shiitake na wood-ear

dc.contributor.authorOei, P
dc.contributor.authorNieuwenhuijzen, B
dc.date.accessioned2018-06-13T08:08:29Z
dc.date.available2018-06-13T08:08:29Z
dc.date.issued2008
dc.description.abstractKulima bustani za uyoga ni shughuli inayotimiza kikamilifu kilimo endelevu na zipo faida kadhaa: ? Taka na makapi ya mazao hutumika vema. ? Uzalishaji wa juu kwa kila meta mraba wa ardhi huwezekana. ? Baada ya kuvuna uyoga, makapi ya uyoga ni mbolea. Agrodok hii inatoa maelezo kamilifu juu ya namna ya kustawisha aina tatu za uyoga-oyster, shiitake na wood ear. Aina hizi za uyoga hasa ni rahisi kustawishwa kwa wakulima wadogo. Kustawisha aina nyingi- nezo za uyoga kama white button na inayotokana na nyasi za mpunga ni utaalam tofauti sana kwa hiyo kitaandikwa kijitabu tofauti cha Agrodok kwa aina hizo mbili za uyoga wa white button na nyasi za mpunga.en_US
dc.identifier.isbn978-9987-9214-1-6
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/147
dc.language.isootheren_US
dc.publisherAgromisa Foundationen_US
dc.subjectUyogaen_US
dc.subjectBustanien_US
dc.subjectUyoga-oysteren_US
dc.titleBustani za uyoga kwa wakulima wadogo vijijini uyoga aina ya oyster, shiitake na wood-earen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
1477_PDF.pdf
Size:
983.97 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections