Kilimo bora cha soya.

dc.contributor.authorShirika la chakula Duniani
dc.date.accessioned2024-07-26T06:59:20Z
dc.date.available2024-07-26T06:59:20Z
dc.date.issued2024-04-12
dc.descriptionMakalaen_US
dc.description.abstractMaharagwe ya soya ni moja ya mazao muhimu katika jamii ya mikunde katika nyanja za uzalishaji wa kibiashara kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha protini (35-40%). Soya inatumika katika kuandaa vyakula vinavyoliwa vikiwa vibichi, vinavyovundikwa na vyakula nikavu, mfano maziwa, tofu, mchuzi pamoja na kimea. Soya hulimwa katika ukanda wa Ikweta. Soya hukomaa katika kipindi cha siku 180 (miezi 6) lakini inaweza kuwa na baadhi zinazokomaa mapema zaidi. Joto chini ya nyuzi joto 21 na juu ya 32 inaweza kuathiri ushavushaji na utengenezaji wa viriba. Na joto zaidi ya nyuzi 40 ni hasara kwa uzalishaji wa mbegu.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/891
dc.language.isootheren_US
dc.publisherShirika la chakula dunianien_US
dc.subjectSoyaen_US
dc.subjectKilimoen_US
dc.subjectMaharageen_US
dc.titleKilimo bora cha soya.en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
KILIMO BORA CHA SOYA.pdf
Size:
4.2 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections