MKURABITA nyenzo ya Serikali inayoibukia kuwawezesha wanyonge walio wengi nchini: Kujenga uwezo wa Halmashauri za Wilaya

dc.date.accessioned2018-06-13T08:11:26Z
dc.date.available2018-06-13T08:11:26Z
dc.date.issued2010
dc.description.abstractKufuatia kukamilika kwa Awamu ya Uandaaji wa Maboresho Julai 2008, MKURABITA iliingia katika awamu yake ya Tatu ambayo ni Utekelezaji wa Maboresho. Menejimenti ya MKURABITA ilianza kwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo hayo yanayo husiana na urasimishaji wa rasilimali vijijini na hata mijini kwa utaratibu iliyoita “FRONT RUNNERS” kwa mbinu ya Ujengeaji uwezo Halmashauri za wilaya. Katika utaratibu huu MKURABITA ilianza na wilaya kumi ambazo ni Makete, Njombe, Wete, Musoma, Serengeti, Manyoni, Mpwapwa, Mvomero, Rufiji na Nachingwea.en_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/159
dc.language.isootheren_US
dc.publisherOfisi ya Waziri Mkuuen_US
dc.subjectMkurabitaen_US
dc.subjectHalmashaurien_US
dc.subjectWilayaen_US
dc.titleMKURABITA nyenzo ya Serikali inayoibukia kuwawezesha wanyonge walio wengi nchini: Kujenga uwezo wa Halmashauri za Wilayaen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
2010-6-9-6-54-7_kujengea_uwezo_halmashauri.pdf
Size:
669.78 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: