Kilimo mseto na urutubishaji wa shamba la mkonge
Loading...
Date
2024
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TARI
Abstract
Kilimo mseto ni mchanganyiko wa mazao mbalimbali na mkonge katika shamba. Kilimo mseto katika urutubishaji udongo wa mashamba ya mkonge kina umuhimu kutokana na mfumo wa upandaji. Mfumo wa upandaji mkonge shambani una shawishi kilimo mseto ili kuboresha afya ya udongo.
Description
Kipeperushi
Keywords
Mkonge, Kilimo mseto