Kilimo cha karafuu

Loading...
Thumbnail Image

Date

2022

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Abstract

Utangulizi Kuna ukuaji mkubwa wa mahitaji ya mazao ya viungo duniani ingawa uzatishaji na uuzaji wa viungo ni wa chini pamoja na kuwa na maeneo mazuri ya uzalishaji. Ikiwa uzalishaji utakuwa na ubora hasa matumizi ya mbegu bora na kilimo kisichotumia mbolea za viwandani soko lake ni ufumbuzi kwa mkulima. Soko la nje ni kama Afrika ya kati, Asia, Ulaya, Afrika na Amerika. Soko la ndani linajumuisha Zanzibar na Tanzania Bara.

Description

Kipeperushi

Keywords

karafuu

Citation

Collections