Mapishi bora
Loading...
Date
2004
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Sokoine university of agriculture
Abstract
Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu tano ambazo ni: Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umri. Mama kula peke yake Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri Watoto wa jinsia zote kula pamoja bila kubagua umri
Description
Keywords
Mapishi, Vyakula