Ziara ya mafunzo kwa wakulima kati ya nyanda za mashariki na ya nyanda za juu kusini

dc.contributor.authorLyimo-Macha, J. G
dc.contributor.authorBatamuzi, E. K
dc.contributor.authorTarimo, A. J. P
dc.date.accessioned2017-11-17T09:56:03Z
dc.date.available2017-11-17T09:56:03Z
dc.date.issued2001
dc.description.abstractChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula, pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania. Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano kati ya Wakulima, Watafiti na Washauri wa Ugani. IIi kufikia lengo hili, mradi umepanga utaratibu wa kuwawezesha wakulima kutembeleana ndani ya kanda zao na kati ya kanda na kanda. Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara mbili (kanda moja kwenda kanda nyingine) zilizofanyika mwezi Agosti na Septemba 2001. Ziara ya kwanza ya kimafunzo ya wakulima iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Mbinga, Njombe, Makete na Mbeya (Kanda ya nyanda za juu kusini) hawa waliwatembelea wakulima wenzao wa wilaya ya Lushoto. Ziara ya pili iliwajumuisha wakulima na washauri wa ugani kutoka wilaya za Bagamoyo, Morogoro Vijijini na Kilosa (Kanda ya Mashariki) ambao waliwatembelea wakulima wa wilaya za Njombe na Mbarali.en_US
dc.identifier.isbn987 605 49 4
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123/66
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II - SUA Projecten_US
dc.relation.ispartofseriesTARP II;2-30
dc.subjectMafunzoen_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.subjectZiaraen_US
dc.titleZiara ya mafunzo kwa wakulima kati ya nyanda za mashariki na ya nyanda za juu kusinien_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mafunzo.pdf
Size:
7.3 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: