Jarida la TAFORI

dc.contributor.authorTANZANIA FORESTRY RESEARCH INSTITUTION (TAFORI)
dc.date.accessioned2022-04-12T11:44:35Z
dc.date.available2022-04-12T11:44:35Z
dc.date.issued2019-06-15
dc.description.abstractSiku ya nyuki duniani ni maalumu kwa ajili ya kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa kutunza viumbe wanaochavusha mimea hususan nyuki, kutambua madhara ambayo yanakabili viumbe hao na kujua mchango wake kwa maendeleo endelevu. Nyuki ni mdudu muhimu sana katika mfumo ikolojia na maisha ya mwanadamu, kwani huchavusha asilimia 70 ya mimea inayohudumia asilimia 90 ya watu duniani. Nyuki wana mchango mkubwa katika maisha ya mwanadamu, hivyo jamii inatakiwa kuwatunza. Kwa kutambua umuhimu wa nyuki, Baraza la Umoja wa Mataifa (“The United Nations General Assembly”) lilipitisha azimio kuwa kila tarehe 20 Mei iwe Siku ya Nyuki Duniani. Azimio hilo liliridhiwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kufuatia pendekezo la Solvenia la Desemba 2017 la kuifanya tarehe 20 Mei kuwa siku ya nyuki duniani. Chimbuko la siku ya nyuki duniani lilitokana na Bwana Anton Jansa aliyezaliwa siku ya tarehe 20/5/1734. Bwana Anton alikuwa mwalimu na mwasisi wa ufugaji nyuki duniani. Alifafanya ufugaji wa nyuki kitaalamu, aliandika vitabu na kufundisha ufugaji nyuki nchini Slovania. Bwana Anton aliwathamini sana nyuki na moja ya kati ya vitabu vyake alivyoandika ni“Bees are a type of fly, hardworking, created by God to provide man with all honey and wax” maana yake nyuki ni wadudu wachapakazi walioumbwa na Mungu kumpatia mwanadamu mahitaji yake yote ya asali na nta. Hivyo, sherehe za kuadhimisha siku ya nyuki duniani hufanyika kila mwaka tarehe 20 Mei kwa heshima ya Bwana Anton Jansaen_US
dc.description.sponsorshipJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI TAASISI TA UTAFITI TANZANIAen_US
dc.identifier.issn0856-496
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/594
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTaasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI)en_US
dc.subjectMiche ya matundaen_US
dc.subjectKubebesha vikonyoen_US
dc.subjectKupanda mitien_US
dc.subjectKloni za mikaratusien_US
dc.subjectUfugaji Nyukien_US
dc.subjectUtafiti wa ufugajien_US
dc.subjectMiche bora ya matundaen_US
dc.titleJarida la TAFORIen_US
dc.title.alternativeMaadhimisho ya pili ya siku ya nyuki dunianien_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JARIDA LA TAFORI.pdf
Size:
3.75 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections