Uchoraji Shirikishi wa Ramani ya Rasilimali za Nyanda za Malisho nchini Tanzania: Mwongozo wa Uwandani wa kusaidia Kupanga Mpango na Usimamizi wa Nyanda za Malisho ikiwemo Kupanga Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ya Kijiji
Loading...
Date
2016
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Tanzania
Abstract
Mifugo ni sehemu muhimu katika uchumi wa vijijini nchini Tanzania. Mifugo si kwamba hutoa nyama na maziwa, lakini
pia hutoa ngozi, nguvu kazi na mbolea. Mifugo inatoa mchango muhimu katika bidhaa zinazouzwa nje na Pato Ghafi
la Taifa la Tanzania. Mifugo inashika nafasi ya pili ndani ya sekta ya kilimo katika kuchangia Pato Ghafi la Taifa (hii ni
karibia asilimia 13 ya Pato Ghafi la Kilimo la Taifa). Hiki ni kiwango kidogo licha ya kuwa na idadi kubwa ya mifugo. Hii
inasemekana ni kutokana na kuwepo kwa magonjwa, ambayo yamekuwa kikwazo kwa usafirishaji wa wanyama nje ya
nchi. Sekta hii pia inakabiliwa na matatizo ya kutoendana na mahitaji ya soko jipya kama vile Mfumo wa Ubainishaji na
Ufuatiliaji wa Mifugo na ustawi wa wanyama. Zaidi ya hayo, upelekaji wa mifugo kati ya masoko madogo na makubwa
unaongeza utegemezi wa usafirishaji kwa njia ya reli au barabara ukichangia thamani kubwa ya ardhi kwa ajili ya nyama
au mifugo kama ukilinganisha na ilivyo Mashariki ya Kati, hivyo kuifanya kuwa na ushindani mdogo
Description
Keywords
Ardhi, Ramani, Malisho ya mifugo, Malisho