Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Kuhusu Mahusiano Baina ya Wakulima na Wafugaji Iliyofanyika Mjini Songea Tarehe 26 - 29 Novemba 2001

dc.contributor.authorBakari, A
dc.date.accessioned2020-10-07T06:18:38Z
dc.date.available2020-10-07T06:18:38Z
dc.date.issued2002
dc.description.abstractChapisho hili linawasilisha Mwenendo wa Warsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Mashariki kuhusu uimarishaji wa mahusiano yaliyopo baina ya wakulima wa mazao na wafugaji. Warsha ilifanyikakatika Kituo cha Don Bosco Mjini Songea tarehe 26 hadi 29 Novemba 2001. Warsha hii ni moja ya warsha ambazo zimepangwa kufanyika kama shughuli muhimu za kuutekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania. Mradi huu ambao ulianza rasmi Septemba 2000, unagharamiwa na Serikali ya Norway kupitia Shirika lake la Maendeleo (NORAD), na unatekelezwa na Chuo Kikuu eha Sokoine eha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo. Warsha hizi zina madhumuni yafuatayo: I. Kuwajumuisha watafiti, wakulima na washauri wa kilimo na washika dau wengine ill kudadisi kuhusu mambo muhimu yanayohitaji kushirikishwa pande zote kwa lengo la kufanikishakilimo. 2. Kuchambuana kuainishamatatizo yanayowakabillwakulima wadogowadogo. 3. Kudadisi illkutambua mambo gani yapewe uzito au kipaumbele zaidi. 4. Kushirikikatika kupeana uzoefu wa maeneo muhimu ya kilimo. Kamati ya Utekelezaji wa Mradi inatarajia kuwa chapisho hili litakuwa la manufaa kwa wadau mbalimbali, na mapendekezo yaliyotolewa na washiriki wa warsha yatachangia katikajuhudi za kuimarisha uhakika wa chakula nchini.en_US
dc.identifier.isbn9987 605 56 7
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/handle/123456789/504
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTARP II-SUA Projecten_US
dc.relation.ispartofseries;TS 2-34
dc.subjectUfugajien_US
dc.subjectWakulimaen_US
dc.titleWarsha ya Tatu ya Wakulima wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Kuhusu Mahusiano Baina ya Wakulima na Wafugaji Iliyofanyika Mjini Songea Tarehe 26 - 29 Novemba 2001en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
wakulima na wafugaji songea0001.pdf
Size:
27.6 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections