Upishi wa Samaki wa Maji Matamu

Loading...
Thumbnail Image

Date

2013

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Abstract

Samaki ni aina moja ya chakula chenye manufaa zaidi ulimwenguni, huwa na manufaa ya kuotesha mwili kwa afya njema. Makusudi ya hiki kitabu ni kufahamisha manufaa na uzuri yanayoletwa na ulaji wa samaki. Cha nuia upishi sahihi wa samaki hiari na kukaanga kwa mafuta mengi ambao ni mtindo dhaifu kwa afya. Samaki sio wazuri kwa afya ya jamii nzima mbali inahitajika kwa wenye mahitaji speshali kwa familia kama kina mama wajawazito, watoto wachanga, wazee na hata wagonjwa.

Description

Keywords

Mapishi, Samaki, Chakula

Citation

Collections