Kilimo bora cha Parachichi
Loading...
Date
2018-02
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Msumba News
Abstract
Parachichi ni moja ya tunda ambalo liko katika kundi la mmea wenye ghala
mbili, tunda lake hulizunguka peke linalokuwa ndani, kitalaamu parachichi
huitwa Persea Americana,parachichi lipo katika kundi la maua kupandwa,
umbile la parachichi ni mviringo au yai. Mti wa parachichi unajichevisha
wenyewe. Parachichi kibiashara linafaida maana linahitajika sana kiafya.
Description
Keywords
Parachichi, Avacado