Umuhimu wa kushirikisha jamii katika uhifadhi wa maliasili za misitu

dc.contributor.authorWizara ya Kilimo
dc.date.accessioned2023-10-05T10:00:55Z
dc.date.available2023-10-05T10:00:55Z
dc.date.issued2016-07
dc.description.abstractKabla ya jamii kushirikishwa katika uhifadhi wa maliasili misitu eneo la Jozani na ghuba ya chwaka, Ndugu Simai alieleza kwamba Serikali pekee ndio iliyokuwa ikilinda rasilimali hizo zilizozungukwa na vijiji tisa vyenye wakaazi wasiopungua 42, 000. Ilionekana kwamba mwananchi wa kawaida kama ni adui wa maliasili japokuwa ndio mwenye mahitaji makuu ya kutumia maliasili hizo kwa maisha ya kila siku. Mwananchi alijenga dhana kwamba maliasili za misitu ni za Serikali na wao hawana mamlaka ya kufaidika na hilo na kupelekea kuwepo na mvutano baina ya mwananchi na Serikali katika matumizi ya maliasili na kusababisha uharibifu katika matumizi. Baada ya Serikali kutanabahi kwamba haitamudu kazi ya uhifadhi kwa ufanisi, wakati uharibifu wa maliasili za misitu unaongezeka na mvutano baina ya Serikali na wananchi unaongezeka, Idara ya Misitu ilitoa wazo la kushirikisha jamii katika uhifadhi wa maliasili za misitu ili iwe na hisia kwamba rasilimali zilizowazunguka ni zao na wanahusika katika jukumu la uhifadhi. Mnamo mwaka 1996 likatolewa wazo la kuanzisha Kamati za Uhifadhi. Kamati saba za kusimamia matumizi ya maliasili zilianzishwa katika Shehia za Pete (Jozani), Unguja Ukuu, Cheju, Chwaka, Charawe, Ukongoroni na Bwejuu. Baadae iliundwa Kamati ya ushauri baina ya Idara ya Misitu na kuwashirikisha wajumbe wawili kutoka kila kamati ambapo kazi za uhifadhi zikiratibiwa na mradi wa kimataifa wa CARE. Kamati hiyo ya ushauri ilifanya kazi kwa pamoja ambapo Idara ilitoa wazo la kuundwa kwa Jumuiya ya Uhifadhi wa Mazingira Jozani (JECA) kwa lengo la kuendelea na kazi za uhifadhi baada ya mradi wa CAREen_US
dc.identifier.issnISSN: 1821 - 8113
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/754
dc.publisherWizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibaren_US
dc.relation.ispartofseries;16
dc.subjectMaliasili Misituen_US
dc.subjectUhifadhien_US
dc.subjectKupeen_US
dc.subjectKichaa cha mbwaen_US
dc.titleUmuhimu wa kushirikisha jamii katika uhifadhi wa maliasili za misituen_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
zanzibar 01.pdf
Size:
2.64 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections