Utaratibu wa kuuza na kununua zao la dengu kupitia soko la bidhaa Tanzania (TMX)

dc.contributor.authorMalekano, Godfrey
dc.date.accessioned2023-02-27T11:54:17Z
dc.date.available2023-02-27T11:54:17Z
dc.date.issued2020-09-04
dc.description.abstractZao la dengu ni moja ya mazao muhimu katika kuinua pato la mkulima nchini Tanzania, hivyo katika msimu wa202012021, Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa kushirikiana na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) pamoja na uongoziwa mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Manyara na halmashauri zake husika zitasimamia uendeshaji wa minada ya dengu katika ghala zinazotumia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala. Mauzo hayo yanalenga kuleta bei zenye ushindani wa haki, uwazi na kupunguza gharama za ununuziwa zao la dengu.en_US
dc.identifier.citationhttps://www.tmx.co.tz/assets/trade/lentils2020/guidelines/muongozodengu2020.pdfen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/673
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSoko la bidhaa Tanzania (TMX)en_US
dc.subjectDenguen_US
dc.subjectSoko la bidhaaen_US
dc.subjectUuzaji denguen_US
dc.subjectMinada ya denguen_US
dc.titleUtaratibu wa kuuza na kununua zao la dengu kupitia soko la bidhaa Tanzania (TMX)en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
muongozodengu2020.pdf
Size:
2.25 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: