Jarida la mbinu bora

dc.contributor.authorKinsey, Erwin
dc.date.accessioned2024-09-02T10:00:27Z
dc.date.available2024-09-02T10:00:27Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionJaridaen_US
dc.description.abstractUfugaji wa mifugo kiasili ni mfumo wa maisha ambao watu au jamii husika wanaishi maisha yao kwa kutegemea mifugo. Katika ukanda wa Afrika ya Mashariki, wafugaji hawa hutegemea zaidi mifugo ya aiana mbali mbali kama; ng’ombe, kondoo, mbuzi, punda, na ngamia ili kukimu maisha yao na familia zao. Mifugo iliyotajwa, imeorodheshwa kwa kigezo cha kuanzia na lile kundi ambalo sio stahimilivu sana (ng’ombe) na kumalizia na lililo stahimilivu zaidi (punda na ngamia), pia kwa kuzingatia maeneo ya ufugaji kuanzia na yaliyo makame kiasi hadi makame zaidi. Wafugaji hawa wana mchango mkubwa sana katika sekta/idara husika lakini bado hawajaweza kuthaminiwa ipasavyo. Kwa mfano: uwezo wa kutunza/ kuendeleza kizazi cha ng’ombe wa asili. Katika utunzaji wa mifugo yao, wafugaji hawa wana uwezo wa kipekee wa kutumia maeneo yanayokabiliwa na ukame kwa njia ya kuhama hama kwa ajili ya kupata malisho bora na maji. Ni ukweli usiopingika kwamba, katika/ ukanda wa Afrika ya mashariki maeneo ya hifadhi nyingi tunazozifurahia kwa sasa ni matokeo ya wafugaji kuhamahama na kuweza kuyatunza maeneo haya kwa ajili ya malisho na hasa kuweza kuyalinda/kuzuia yasiingiliwe na shughuli za kilimo.en_US
dc.description.sponsorshipECHOen_US
dc.identifier.urihttp://10.10.11.5/xmlui/handle/123/903
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEcho communityen_US
dc.relation.ispartofseries;toleo namba 03
dc.subjectMbinu Boraen_US
dc.subjectUfugaji wakuhama hamaen_US
dc.subjectMifugo ya kiasilien_US
dc.subjectWafugajien_US
dc.titleJarida la mbinu boraen_US
dc.title.alternativenamna ya kuwasaidia wafugaji wa mifugo ya kiasilien_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
919:02:2024.pdf
Size:
2.54 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
pdf
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections